Aliua ndege wawili kwa jiwe moja alipata fulsa ya kufanya shopping na pia kujionea vikwangua anga vilivyo sheeni katika jiji hili..lenye uwingi wawatarii wakutoka kila pande za dunia. ukiwa New york usiogope kuongea lugha yako kwani 75% ya watu unaopishana nao ukiwa unatembea kwa miguu au hata ukipata nafasi ya kutumia mabus yake ya kitarii watu uongea lugha za nchini kwao na kusikia Kingereza ni nadra sana. napia alipata fulsa ya kutembea kwa miguu kwa muda wote tofauti na alivyo kuwa amezoa akiwa Maryland kwa Mtoto wake BossLady kwani pale alivyo taka kutoka tu alitumia gari. Mwenyeji wao Ny Ebra aliwatembeza kila pahara walivyo taka kwa kutumia miguu kwani Ny Ebra ana usafiri zaidi ya miguu na ukitaka kulienjoy jiji hili la wasilo lala hapo chini ni usafiri walio tumia na nikawa ambia parkin gari yenu na tuchapa mwendo. picha kwa isani ya Ny Ebra wa blog ya jamii.....!!
Kutoka kushoto ni MK,Cathy,Ebra NY,Mama Nyongole
Kutoka shoto ni MK,Cathy,Boss Lady,Mama Nyongole
NY Ebra akiwa na gari yake mpwa
No comments:
Post a Comment