
Nani # 17 mchezaji wa Man U akishangilia goli katika kipindi cha kwanza alilofunga dhidi ya FC barcelona kwenye mechi ya kirafiki iliyochezewa uwanja wa Fedex.Landover,Maryland,July,30,2011

Mchezaji wa mpira wa kikapu wa L A LAKERS,Kobe Bryant akionyesha naye yumo kwenye mpira wa miguu hii ilikua wakati wa mapumziko kwenye mechi ya kirafiki ya Man U na FC Barcelona mechi iliyochezewa uwanja wa Fedex,Landover,Maryland

Mashabiki wa FC Barcelona waliofika kushuhudia mpambano huo

Jonathan dos Santos #18 wa FC Barcelona akipiga kichwa mbele ya Wayne Rooney # 10 wa Man U

Chris Smalling #12 (shoto) akimpongeza Michael Owen #7 (wa pili kutoka shoto) huku wachezaji wengine wa Man U wakitabasamu,Michael Owen ndie aliyefunga goli la pili la Man U,kipindi cha pili

Thiago Alcantara #4 wa Barcelona akishangilia goli la kufutia machozi alilofunga kipindi cha pili huku mchezaji mwenzake Jonathan dos Santos akimbeba kwa furaha(picha kwa hisanai ya Rob Carr na Getty Image North America)
No comments:
Post a Comment