Burudani hiyo ilifanyanyika 16 Beaver Street, New York City, pichani ni Viongozi wa jumuia wakiwa na mgeni rasimu ambae ni balozi wetu hapa New York Mh SEFUE, Mwanzo Kutoka kulia ni Mjumbe wa Jumuia Bw. Chiume, wapili ni Mwenyeketi wa Jumuia Bw. Hajji Hamis watatu ni Mh Balozi wetu Ombeni Sefue, ambae ndiyo alikuwa mgeni rasmi kwenye tukio hili na wa mwisho afisa wa ubalozi hapa New York Bw.Mero wakifuahatili kwa makini kabisa kikundi hicho kilivyo kuwa kina toa burudani murua kabisa.Na pia hilikuwa kama fulsa ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani,
kikundi cha taarab na belly dance kikipagawisha ukumbini hapo
Mmoja ya waimbaji wa kikundi hicho cha taarabu mwenye asili ya Sudan akiimba moja ya wimbo wa taarab uliowavutia wengi ukumbini hapo
Mcheza show wa Belly Dance akipagawisha ukumbini hapo
Mdau wa New York,NY akipagawa na Taarab
Wanajumuia wa New York,NY na vitongoji vyake wakiduarika na kburudika na tarab ndani ya ukumbi huo
Mweka hazina na mratibu wa mpango mzima wa jambo hili kutokea Mzee Temba akishow love......Picha kwa Hisani ya Ny Ebra mwana blog ya jamii kutoka New York City.
No comments:
Post a Comment