Juu na chini Kikundi cha mchiriku cha Jaguar kutoka Tanzania kikipagawisha mjini Copenhagen,Denmark
Juu na chini ni Wanenguaji wa mchiriku wa kikundi cha Jaguar wakapawisha wadau mjini Copenhagen,Denmark
Wadau wa mjini humo wakipata Ukodak wa pamoja
Kutokana na kazi nyingi ni vigumu kukutana kama hivi,hapa ni wadau wa Dernmark walipokutana kwenye usiku wa mchiriku ulioporomoshwa na kikundi cha mchiriku kutoka Tanzania.
Juu na chini ni wadau wakiongea na kupata burudani ya macho na mchiriku wa Jaguar
Wadau wakifurahia mchiriku
kwa picha zaidi Bofya Read More
2 comments:
Inapendeza kuona ngoma zenye asili ya Tanzania kama mchiliku ukuvuma katika anga za Denmark
mchiriku umenikumbusha sana Kinondoni Shamba masela mpo, ktk pale uswahilini furugu vagara hapo chacha.!!!!
Post a Comment