Wajumbe wa mkutano wa SID World Congress wakipata Ukodak wa pamoja kwenye Hotel ya Omni Shoreham iliyopo Washington DC,kutoka kushoto ni mjumbe kutoka Uganda Bw.Yona Kanyomozi,Rais wa chama cha maendeleo cha kitaifa(Society For International Development-SID) Balozi Juma Mwapachu,Mjumbe kutoka Denver,Colorado ambae ni Mkenya,Kimoti Meme ambae anafundisha REGIS UNIVERSITY na Mjumbe ambae jina jlake halikupatikana
Kutoka kushoto ni Ankal,Sunday Shomari wa VOICE OF AMERICA(VOA),mjumbe kutoka Uganda Yona Kinyomozi,Balozi Juma Mwapachu,Mjumbe ambae jina lake halikuweza kupatikana na Mpwa wakiwa kwenye Ukodak Moment,ndani ya Hotel ya Omni Shoreham iliyopo,Washington,DC
Kutoka kushoto ni Masoud Kipanya,Sunday Shomari na Yasmin ambe pia ni mmoja ya wajumbe
Kutoka kushoto ni Mpwa,Masoud Kipanya,Yasmin,Sunday Shomari na June Warioba
Juu na chini ni Masoud Kipanya wa pili toka kushoto akituvunja mbavu
Mpwa nikila konozz kwa June Warioba
No comments:
Post a Comment