ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 2, 2011

ANKAL AKIPATA UKODAK MOMENT NA WACHEZAJI WA BONGO REAL NA MASHABIKI

 Ankal na wadau wa Bongo Real ambako nako kuliandaliwa babakyuu ya nguvu
Mkuu wa kambi Ligate na mdau
 Wadau katika babakyuu
 Ankal na wadau
 Ankal na mkali wa Hip Hop DMK na vipapatio
 Ankal na wakulu wa Bongo Real
 Maveterani wa Bongo Real wakipumua baada ya tizi la kufa mtu
 Wadau wa bongo Real baada ya tizi
 Konozzzz kama kawa
 Mtu mzima akiandaa babakyuu huku mdau Londo akingoja kipapatio
 Ankal akutana na wachezaji wa zamani wa Chelsea ya Gerezani jijini Dar ambao sasa wanapiga boli na Bongo Real Maryland
Ankal na wadau wa Maryland

No comments: