ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 2, 2011

TAARIFA YA MSIBA 
Marehemu Macrina Samaka

Ndugu Watanzania wenzangu kama tulivyo wataarifu mwanzo kwamba tuna msiba hapa DC,ndugu yetu dada yetu Macrina,hatuko nae tena,sasa hivi tunasubili barua nyingine ya power of attorney baada ya ile ya kwanza kua na makosa ili iwezeshe mwili wa marehemu kupelekwa funeral home.

mpaka sasa gharama za kusafirisha mwili bado hazijajulikana  barua mara itakapofika utaanza utaratibu wa kupeleka mwili wa marehemu funeral home na kuwatanzagazi gharama za kuusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania.

Watanzania walio nje ya DC utaratibu unafanywa kufungua A/C hiyo Jumatano ya Aug 3,2011,kwa wakazi wa DMV,msiba utakuwepo nyumbani kwa Arthur Gao
address ni

4303 FRANKFORT DR,
ROCKVILLE,MD,20853

Huu ni mwezi wa mfungo wa Ramadhani na mke wa Arthur(Majida) amefunga kwa hiyo tunawaomba Watanzania wenzangu tufike mapema na watakao saidia kuja na chakula na vinywaji vyepesi,Mwenzezi Mungu awazidishie.

Tunawaombeni Watanzania wote DMV na NJE ya DMV tujumuike pamoja tuwezeshe kumsafirisha Marehemu Tanzania.

kwa mawasiliano

Afisa Ubalozi,Abass Misana-202 378 8066
Rasheed Mkakile-240 938 3177
Arthur Gao-240 408 1422
Magrette Wahida-301 915 5821
Dj Luke Joe-301 661 6696
Malecela(New York)-914 473 1033
Boston(MA)
Juliana-413 330 3891
Abela- 781 913 2107
Suzie-617 306 1645
Houston,TX
Georges Assenga-713 894 9403

MWENYEZI MUNGU AMETOA,MWENYEZI MUNGU AMETWA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE,
AMINI

No comments: