Marehemu NASIB EXZAVERY maalufu kama Mkemia akiwa amechomwa moto eneo la viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge Jijini Mbeya kwa kosa la wizi wa kuku ambaye Mwenye Kuku huyo hajafahamika
Marehemu NASIB pamoja na Kuku waliodaiwa kuwaiba na kumsababishia kifo.
Jeshi la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kuuchukua Mwili wa marehemu na kuupeleka katika hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya
Gari hili ndilo linalodaiwa kuwa marehemu alikuwa akifanya kazi kama Utingo
Watoto wa shule ya Msingi Mwenge wakiwa eneo la Tukio.
Picha kwa hisani ya Mbeya yetu Blog
5 comments:
Eeh Mungu...
oyaa RUKAS kitowewo hicho,isione aibu kule tarime mnakula,najua unamwza mate kichizi.
DOES ANY ONE BELIEVE THIS DEATH IS JUSTIFIED ??.
Halafu mnasema TZ tunajivunia amani tuliyonayo. Amani gani wakati mtu anauliwa kwa kuiba kuku tu na wauwaji wala hawachukuliwi hatua. Shame shame shame. Jana mcgezaji mkubwa wa basketball ameshikwa kwa kutuhumiwakuua mtu ambaye alikua yupo na mtu aliyenuibia before. Sasa ingekua bongo "justice was done" na angeendelea na maisha yake kama kawaida. Kamata wote hao walioua. Kwani wao ndio hakimu. Ina maana Govt inaruhusu kila mtu ahukumu mtu?
Just shame on Tz Govt. Shame on you.
this is evil, this is a big shame !!
Post a Comment