Wajenzi wakiwa wamerudi kuendelea na kazi za ujenzi,mitaa ya Silver Spring lakini semu nyingi za kazi na mashule na shughuli nyingi za mahakama zilisitishwa mpaka kesho simu za mkononi zilikata mawasiliano kwa muda.kampuni ya T Mobile hawakua hewani takribani saa 3.
Wakazi wengi wa DMV wanatumia usafiri wa mabasi kuliko treni ambazo usafiri wake sehemu kubwa ni chini ya Ardhi,Treni zimeamuriwa zitumie mwendo wa 15 M/H(25 KM/H) mpaka hapo ukaguliwaji wa mataaluma utakapomalizika,kawaida mwendo wa kawaida wa hizi treni ni 60 M/H(100 KM/H)
No comments:
Post a Comment