ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 27, 2011

FUTARI YA PAMOJA

Assalam Alaykum,

Ndugu waislamu Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washngton DC Metro(TAMCO) unawakaribisha na kuwajulisha kuwa kama kwaida yetu kwa mwezi wa Ramadhani tutakuwa tukifuturu pamoja jumammosi na jumapili zote za Mwezi wa Ramadhani.

Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:
SAT.08/27/11 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SUN.08/28/11 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park

Address:
Hillandale PAB - Hillandale Local Park:
10615 New Hampshire Avenue,
Silver Spring,
MD 20903

XXXXXXX
TAMCO EID DAY: SAT. 09/03/11 – Hillandale Local Park

Starting at 4.00PM

If you experience problems locating the address,
Please contact TAMCO Leadership.
At
uongozi@tamcousa.org OR

Tamcotuwasiliane-owner@yahoogroups.com

Wenu
Mwenyekiti
Iddi Sandaly
301-613-5165

1 comment:

Anonymous said...

jazaka Allahu khairan!kaka zangu kipaji mmepewa!!"Ewe mola wetu,tupe rehema zinazotoka kwako na tutengenezee uwongofu katika[kila]jambo letu".Ameen.