ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 27, 2011

FUTARI YA PAMOJA,WASHINGTON METRO AREA

TUNASIKITIKA KUKUARIFU KUWA FUTARI NA KISOMO  CHA TAMCO VIMEGHAIRISHWA LEO JUAMAMOSI AUG 27,2011 KUTOKANA NA HALI YA HEWA UKIPATA UJUMBE HUU WAJULISHE NA WENGINE

4 comments:

Anonymous said...

Blog siku hizi imeendelea sana hongera kwa hilo,picha nzuri,hakuna mambo ya Hotspot,look of the day,specil couple huo ulikua ushamba sana.

Anonymous said...

Sasa unaachana na mambo ya kigei,unatoa commet,wel done.

Anonymous said...

Jamani sasa huo ni uswahili mkubwa!mnamuonea Luke sana au kwakuwa ni mstaarabu hawezi jibu?sio ustaarabu jamani!mtu hawachaji hata thumuni kuwaletea habari au kuweka picha mnaongea vitu ambavyo havistahili wala havina heshima!Ndio maana hatuendelei mimi sioni kosa kama Luke akitoa picha za look of the day,hot couple au special couple ni ushamba?wewe ndio mshamba mkubwa!angalia majarida kama people magazine Essence Ebony na hata ya bongo uone inavyokua!na hata blog karibia zote zinafanya hivyo ili kuweka vionjo!Luke endelea na libeneke lako kaka wakati unaanzisha blog nina uhakika huyu anonymous wa saa12.28,hakuwepo.hata kama ungetaka msaada wake asingesaidia lazima angeponda kama tabia tuliyonayo baadhi ya wabongo( si wote lakini)ndugu yangu kuwa mstaarabu,.Na wewe anoymous wa saa 6.23 unanisikitisha sana!naomba uende ukajifunze ustaarabu kama kuna shule ya hivyo!hapa sio mahali pa kuongea rubbish zako ujue huo ni ukosefu wa nidhani?huwezi kumwambia mtu anaejitolea kutoa habari zitunufaishe watanzania wote wewe unaita mambo ya kigei!tafadhali watanzania wenzangu hii sio sehemu ya kutoa maneno machafu.Luke asante sana kwa ujasiri ulionao najua kazi ya blog ni ngumu na ina siri kubwa!na inaweza kukurudisha nyuma na kufifia roho kwa watu wachache kama hawa!tafadhali endelea na moyo huohuo!.Tunakupenda sana.Tafadhali Luke toa hii comment yangu watu wapate mueleo kidogo!maanake hawaoni kama wewe kuanzisha blog hii ni upendo,ushirikiano na mawasiliano makubwa kwa sisi wabongo na wakumbuke kua wewe ndio mwanzilishi wa kwanza wa blog mtanzania hapa Washington dc.(DMV)Asante sana.Ni mimi,mwana DMV.

Anonymous said...

Hata mimi namuunga mkono huyo mdau hapo juu!,Hii si sehemu ya kilabuni au uwanja wa fisi,tafadhali watu tuwe na heshima.Kama leo nimesoma blog ya DINA MARIOS,nimeona kuna mtu kaandika ujinga katika comment na kumuita kwanza wewe mnene kama pipa na kashfa za ajabu,sasa yeye mwanamke kwakweli ni ngumu kuvumilia na kukaa kimya ikabidi aiweke na aandike kwenye blog yake kua sio ustaarabu,ila kwakweli kiubinadamu inauma sana.Mtu ambaye anajitolea kuwapasha habari,na mkumbuke huyu mtu ana kazi zake za maana kama wewe,anaacha anakuburudisha wewe,mbona wewe huachi kazi zako uka-voluntia chochote hapa mjini?nina uhakika kuna habari nyingi tu ulikua hujui kokote ila baada ya luka kutoa ndio ukapata upeo uongo jamani?Tuwe na roho ya kupendana tupaishane jamani tuache roho mbaya yenye kutu.Naomba kuuliza swali "hivi kuanzia leo luka akianza kutoza pesa kwa kila picha anayotoa au unayotaka atoe,ujumbe,taarifa za misiba na mengineyo utalalamika na kumuona mbaya?maanake blog zingine hutoi pesono habari bure!kumbuka huyu ni muandishi wa kujitegemea wa uchochoroni sio mkubwa kama hao tunaowaona kama,E,TMZ na kadhalika ambao wanalipwa na makampuni yao,sasa huyu anatumia garama zake mwenyewe hivi kweli hamfikirii jamani?acheni hizo jama ni roho mbaya.Ni hayo tu.Wana DMV tuko pamoja.Samahani kama nimemkwaza mtu lakini huo ni ukweli wenyewe.Asante sana Luka na usikate tamaa tuko pamoja.