Dada zetu Habiba na Farida wanakutaarifu Arobaini ya mpendwa Baba yao Mazazi itakayofanyika Ijumaa hii saa 12 jioni(6pm) Hilandale Park
Address ni
10615 New Hampshire Av,
Silver Spring,MD,20903
Baada ya kisomo tutafuturu pamoja
Kwa habari zaidi
571 315 4817-Habiba
240 593 7370-Farida
Karibuni
1 comment:
Assalamu Aleykum kidada!Mwenyezi Mungu napokea Dua itokayo kwa mzazi kumuombea Mtoto na Mtoto kumuombea mzazi,nawataki Dua njema na swaum njema Baarakallahu fiik.
Post a Comment