ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 24, 2011

MIAKA 50 YA UHURU

50th Independence Image
Watanzania wenzangu siku zimeisha mnaombwa mjiandikishe mapema kumbuka mwisho wakulipa $99/= ni Aug 31,2011 baada ya hapo gharama ya kujiandikisha itapanda mpaka $190/=

Kama upo Washington Metro Area unaweza kujiandikiashia Ubalozini na Wajasiliamali wote wa Marekani mnaombwa muwasiliane na Ubalozi kuhusu kuleta Meza yako siku ya sherehe za miaka 50 ya UHURU

Tafadhali wasiliana na Ubalozi kupitia


Embassy of the United Republic of Tanzania
1232 22nd St. NW, Washington D.C 20037   
Telephone: (202)884-1080, (202)939-6125/7    
Fax: (202)797-7408    Email: Click to Email   

No comments: