ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 10, 2011

MISA NA KUMUAGA MACRINA SAMAKA KUFANYIKA JUMAMOSI AUG 13,2011

Kutoka kushoto ni Sara ambae aliufahamu ukoo wa marehemu Tangu nyumbani,anaefuatia ni Mama Mwombela nae alishawahi kufundishisha na Mama wa Marehemu Macrina Samaka enzi hizo akiitwa mwalimu Cecilia na kulia ni mdogo wa marehemu anaeitwa Juliet Samaka aliyekuja kutoka Tanzania kufuatilia maswala ya msiba.
Kutoka shoto ni mdogo wa marehemu,anaeitwa Juliet Samaka akiwa na Flavia Mwombela(kati) na Magrette Wahida.
---------------------------------------------------------------------------
KUTAKUA NA MISA JUMAMOSI AUG 13,2011 YA MAREHEMU MACRINA SAMAKA ITAKAYOFANYIKIA 

SAINT CAMILLUS CATHOLIC CHURCH.
1600 CAMILLUS DRIVE,
SILVER SPRING,MD,20903

MISA ITAANZA SAA 5:30 ASUBUHI JUU YA ALAMA(11:30 AM SHARP) TAFADHALI ZINGATIA MUDA NA TUNAOMBA WATANZANIA WA DMV NA STATE ZA JIRANI TUJITOKEZE KWA WINGI KUMUAGA,MWENZETU,NDUGU YETU NA DADA YETU,MACRINA SAMAKA ATAKAEKUA ANAELEKEA KWENYE MAPUMZIKO YA NYUMBA YAKE YA MILELE,TANZANIA

BWANA AMETOA,BWANA AMETWA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE.




No comments: