ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 26, 2011

MISA NA MAZISHI YA MPENDWA WETU SEBASTIAN THOMAS

Kulia ni Mke wa Marehemu Sabastian Thomas akiwa pamoja na mdogo wa marehemu wakifuatilia misa ya kumuaga Mpendwa wao
Ndugu wa Marehemu Sabastian wakiwa pamoja na Mke wake Marehemu wakitoa heshima za mwisho
Juu na chini ni wachungaji wakitoa neno
Kulia ni Mke wa Marehemu Sabastian pamoja na mdogo wa marehemu wakimfuatilia mchungaji.
 Mke wa marehemu Bartlet Kamna(shoto) akiwa na ndugu na jamaaa waliofika kanisani kwenye misa ya kumuaga mpendwa wao Sabastian Thomas
Juu na chini ni ndugu na jamaa wa karibu na marehemu Sabastian Thomas
Kwaya wakiimba moja ya nyimbo za kumtukuza Mungu kanisani hapo
Mke wa marehemu akiwa na shemeji zake na ndugu na jamaa waliofika kwenye maziko ya mpendwa wao Sabastian Thomas.
Geneza la Sabastian Thomas likiwa juu ya nyumba yake ya milele.
Mama Munanka akibadilishana mawili matatu na mchungaji Niku hii ilikua ni kabla ya misa ya kumuaga mpendwa wetu Sabastian Thomas
Kwa picha zaidi Bofya Read More


No comments: