ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 17, 2011

SIMBA YAIBANJUA YANGA 2-0

waamuzi wa mchezo wa leo wakikagua lango la Kaskazini mwa Uwanja wa Taifa 
Mashabiki wa Yanga wakiwatambia wa Simba kabla ya mchezo
Wanamsimbazi
Kikosi cha Simba ambacho leo kimetoka kifua mbele baada ya kuibanjua Yanga goli 2 kwa nunge kwenye mchezo wa unfunguzi wa ligi kuu ya Ngao ya Jamii,magoli yote yamepatikana kipindi cha kwanza.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la kwanza lilifungwa na Haruna Moshi"Boban"
Wachezaji wa Simba Felix Sunzu Mumba kutoka Zambia na Emmanuel Okwi kutoka Uganda wakishagilia goli la pili lililofungwa na Felix Sunzu 
Wanajangwani

No comments: