ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 17, 2011

WAZIRI MKUU PINDA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Makatibu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) wa kata za Mkoa wa Mtwara kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalumu kutoka mkoa huo, Anastazia Wambura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments: