Mafuriko kati ya moja ya mitaa nani ya mji wa Brooklyn,New York.
Watu wakionekana kama wakimbizi wa Tufani ya IRENE wakiwa hawajui la kufanya baada ya safari za mabasi na Treni kusitishwa mjini humo
Mji wa Coney Island ni moja ya miji ambayo wakaazi wake waliambiwa kuhama lakini wengi wao waligoma
Waakazi wa Brooklyn,New York wakiwa wamekwama kwenye vituo vya Treni baada ya usafiri wa mabasi na Treni kusitishwa mpaka hapo hali itakaoporejea kuwa shwari
Mti ukiwa umeanguka baada ya upepo mkali wa Tufani ya IRENE,Fort Greene,Brooklyn,NY
Mtaa moja wapo Brooklyn,NY usiku wa kuamkia leo
Mainjinia na wafanyakazi wa mamlaka ya Bandari wakikagua maji yaliovuka uzio mdogo mbele yao kwenye jengo la World Financial Center Plaza lililopo Manhattan,NY
Meza zikiwa zimegeuzwa juu chini kwenye moja ya mgahawa,Manhattan,NY

No comments:
Post a Comment