Napenda kutoa ushauri wangu wa bure kwa Michuz. Asiwe mtu wa siasa sanaa kama mwanahabari;ninasema hivi kutokana na ukweli ambao ulijionyesha kipindi cha uchaguzi, alikuwa akiegemea upande mmoja wa chama chake zaidi na kwa kuandika habari za chama kimoja tu hata kama chama ndicho kinakusaidia uwe na uwiani sawa hasa katika habari za siasa. Mwisho nampongeza kwa mambo yote mengine anayofanya vizuri Big up!
1 comment:

Post a Comment