Anniversary ya miaka 20 ya ndoa ya Bi mosi na mume wake Mohammed
Bi Mosi akiwa na Mume wake Mohammed wakiingia ukumbi wa Astoria World Manor uliopo Queens,New York,Nchini Marekani kwenye sherehe ya kusherehekea miaka 20 ya ndoa yao
Ustadhi Mafta akiomba dua mara tu Bi mosi na Mume wake walipoingia ukumbini
No comments:
Post a Comment