ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 17, 2011

MZEE YUSUF ARAMBISHA KISAWASAWA HOLLAND

Mzee Yusuf akipagawisha mashabiki wake jijini Den Haag,Holland
Kazi ilikuwapo ukumbini hapo,yani ni full Arambaa arambaa tena Haaaam haaaam 
Maganga One kikosi kazi kilikuwepo kuhakikisha mambo yanakwenda sawasawa katika kuwaletea habari ndani ya blog.Maganga One Blog imetoa ajira kwa wake na wanaume sawasawa ili kuleta maendeleo katika jamii yetu.(kwa picha zaidi Bofya Maganga One)

No comments: