ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 18, 2011

HAPA NA PALE,MR & MRS BOAS WEDDING,

 Bw.Harusi akiwalisha keki wakwe zake harusi iliyofanyika,Maryland,Nchini Marekani
 Bw.Harusi akiendelea kuwalisha keki wakwe zake
Bw.Harusi akilisha keki wakwe zake
Bi Harusi nae akilisha keki wakwe zake
Bi Harusi akimlisha keki baba mkwe wake
 Bwana na Bibi Katule wakioneshana malavi davi

 Wageni waalikwa wakiwa kwenye harusi na Bw. na Bi Boas 
for more photo click Read More

No comments: