ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 18, 2011

REHEMA'S BRIDAL SHOWER,SILVER SPRING,MARYLAND

Rehemu akiwa na mume mtarajiwa Ibrahim kwenye Bridal shower yake iliyofanyika,Silver Spring,Maryland,Nchini,Marekani
Bi harusi Mtarajiwa(shoto) akipata Ukodak moment na Baraka Daudi akiwa na mama mwenye nyumba wake
Bi Harusi mtarajiwa,Rehemu akisakata rhumba na mume wake mtarajiwa
Bi Harusi akipata Ukodak moment na ndugu,na jamaa
Wadau wakipata udrink
ukweni nao walikuwepo ndani ya nyumba
Mama zake Rehema wakiwa nao kwenye Bridal shower
Wageni waalikwa wakisakata rhumba
Wageni wakila rhumba huku wengine  wakwe zake Rehema wakipongezana

No comments: