Ndugu zetu Charles Kaiza na John Kaiza wamefiwa na dada yao Mwalimu Augusta Kaiza jana jioni (09/17/20011) uko Dar-Es-Salaam, Tanzania. Msiba utakuwa nyumbani kwa Charles Kaiza, Columbia. Address ni:
9737 Clocktower lane,# 302,
Columbia, MD 21046.
Simu ya Charles ni 240-461-2367, simu ya John ni 202-664-6794., Edward Taji 301-433- 2677, John Sitta 240-515-2078 Kwa habari zaidi tutawajulisha baadae
No comments:
Post a Comment