ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 18, 2011

MKAKATI WA BALOZI AMINA S ALI KUPAMBANA NA MALARIA

 Mwakilishi wa Umoja wa Africa nchini Marekani, Ambassador Amina S. Ali pamoja na mwakilishi wa Benki ya Dunia kwenye kitengo cha Kupambana na Malaria kwenye kikao cha kuweka mikakati ya kupambana na tatizo la malaria kwenye nchi zinazokumbwa na janga hili kusini mwa jangwa la Sahara. Chini ni Balozi Amina S. Ali akipiga picha ya pamoja na mabalozi wa Botswana na Namibia ambao pia walihudhuria kikao hicho siku ya Alhamisi, September 15, 2011 

No comments: