Mabondia Japhert Kaseba (kushoto) na Maneno Osward wakitunishiana misuri walipokutana, Dar es salaam leo kukumbushwa sheria mbalimbali zitakazotumika katika mpambano wao utakaofanyika jumamosi hii katikati ni Katibu, wa Chama cha mchezo wa ngumi kinachosimamia mpambano huo. PST. Anton Lutta. (Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com)
No comments:
Post a Comment