Balozi Amina Salim Ali wa Umoja wa Africa (AU) akiweka sahihi kwenye kitabu cha rambirambi kutokana na vifo vya Watanzania kwenye ajali ya meli kule Zanzibar Alhamisi, September 15 2011 kwenye Ubalozi wa Tanzania, mjini Washington DC nchini Marekani, huku Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mh.Mwanaidi Maajar akishuhudia
BaloziAfrica Union,Amina Salu Ali akipiga picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mh. Mwanaidi Maajar, mara baada ya tukio la kuweka sahihi kwenye kitabu cha rambirambi kukamilika
Wawakilishi wetu hawa kwenye anga za kimataifa, Balozi Amina Salum Ali na Balozi Mwanaidi Maajar wakiagana nje ya jengo la ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Mtanzania mwenye mapenzi na nchi yake,Mr Zuberi Majid, akiweka sahihi ya kwenye kitabu cha maombolezo akiwaenzi ndugu zetu waliopoteza maisha kwenye ajali ya meli huko Zanzibar, Alhamisi Sept 15,2011kwenye ofisi za ubalozi wa Tanzania Washington,DC, nchini Marekani,
No comments:
Post a Comment