speaker of house of commons
picha ya kushoto ni Linda Kapinga na mwakilishi wa Australia,mwakilishi wa Northen ireland na Lucy Minde na picha kulia ni Linda Kapinga na Lucy Minde [Wawakilishi wa Bunge la vijana wa CommonWealth
SALAM,
Urban Pulse Creative inakuletea matukio katika picha ya wawakilishi wetu kutoka Tanzania ndani ya Bunge la Vijana (YOUTH COMMONWEALTH PARLIAMENT) lililofanyika kuanzia tarehe 6-10 Septemba 2011. Tanzania Iliwakilishwa kutoka kwa Linda kapinga pamoja na Lucy Minde.
Motto wa Mkutano huu ulikuwa Mabadiliko ya Mazingira
Mbali na kupata fursa ya kukutana na wawakilishi wengine kutoka kwenye nchi mbalimbali za jumuiya ya Madola pia walikaribishwa kupata chakula cha pamoja kutoka katika nyumba wa spika wa House of Commons John Bercow
Asanteni,
DR. Shija na Wawakilishi Wetu
Jengo la westminister
linda akiwa kazin
Lucy akiwa kwenye chamber westminister na wawakilishi kutoka nchi mbalimbali
Mh Balozi Peter Kallaghe Katika picha ya pamoja Linda na Lucy
Wawakilishi wetu wakifuatilia hoja Bungeni
wawakilishi wetu wakipeperusha bendera ya Tanzania ndani ya westminister


No comments:
Post a Comment