Monday, September 5, 2011

Labor Day Weekend,Rio Club,Laurel,Maryland

Mh.Catherine Magige akiwa na mwenyeji wake Loveness Mamuya(shoto)
Abou Saka(shoto) akipata ukodak moment na Adam NY
Poromota Peter Ligate akiwa na mama mwenye nyumba wake
Wadau wakipata Ukodak moment ndani ya Rio Club
Mh.Catherine Magige(shoto) na DMK wakipata Ukodak
Gloria akiwa ametulia na huku akipata Ukodak moment
DMK(kulia) akiwa na Zay B,Dullah pamoja Dullah
Wadau wakiwa ndani ya Club ya Rio
Dj Babu(kulia) akipata ukodak monent na Mr Ligate
Kwa picha zaid Bofya Read More

1 comment:

Anonymous said...

baad kubwa mkurugenzi.thank u kutuwakilisha.