Sunday, September 4, 2011

MISA YA KISWAHILI,WASHINGTON METRO AREA J2 SEPT 4,2011

Padre Erasto Shayo akisalisha misa ya kiswahili ilyifanyika St Camillus,iliyopo Silver Spring,Maryland,Marekani
Antony Mkai akisoma neno la kwanza
 
Mama Mwombela akisoma neno la pili
Tracy Macdonald kiongozi na mpiga kinanda ya kwaya ya kanisa la St Camillus akiimbisha moja ya nyimbo za kiswahili zilizokua zikiimbwa na wanakwaya wa kanisa hapo waliokua wamechanganyika na Watanzania
Wanakwaya wakiimba nyimbo za kiswahili
Wamerekani wanaoongea Kiswahili waliofika kwenye Misa hiyo
Waaumini wa kikristo waliofika kwenye misa hiyo iliyofanyika St Camillus leo
Waumini wa dini ya kristo wakifuatilia misa ya kiswahili
Waumini wakifuatilia Misa na kuimba nyimbo za kiswahili
Juu na chini ni Wanakwaya wakiimba
Waumini waliofika leo wakifuatilia Misa
Kutoka shoto ni Flavia,Mama Mwombela na Mama Mukami wakipata picha ya kumbukumbu

No comments: