Sunday, September 4, 2011

Makamuzi ya TMK London

shoto ni Chege akipandisha mzuka na kulia ni Temba akifanya vitu vyake
kushoto dj ritchie kutoka bongo dj akifanya makamuzi na kulia ni Chege akifanya meditation kabla ya makamuzi
kutoka kushoto Muddy,dj ritchie, Kova Jnr na Dj rule.
makamuzi ya nguvu kutoka tmk yakiendela.
misosi nayo ilikuwa ya kumwaga
Miss jestina(katikati) akila pozi na wadau waliokuja kwenye show ya
TMK wakila pozi na fan wao baada ya makamuzi
Wazee wa TMK wakiwa na promota wao kabla ya show 1857
URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea matukio katika  show ya TMK iliyofanyika london, Ilford ukumbi wa Empire Suite jumamosi tarehe 3 septemba 2011. Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na MISS JESTINA BLOG


No comments: