Sunday, September 4, 2011

WAZEE DC NGUVU YA SODA KWA VIJANA DC,YALALA 3-5

 Timu ya Wazww wakipata picha ya pamoja
Timu ya Vijana ikipata picha ya pamoja
Kocha wa Wazee,Colonel Maganga
Kocha wa Vijana,Hussein Choteka
mashabiki waloiofika kwa wingi kushuhudia mpambano
Wadau wakifuatilia mpambano
Mashabiki wa timu ya Vijana wakiwa nje ya uwanja
Mchezaji wa Timu ya Vijana,Libe akikokota gozi
Mchezaji wa Vijana,Rich akiwatoka mabeki wa timu ya Vijana
Mashabiki wakifuatlia mchezo
Pius Mtalemwa Refa wa kimataifa
Fadhili(shoto) na Ally Wachezaji wa timu ya Vjana na Wazee waliofunga magoli kwenye timu zao
Kwa picha zaidi Bofya Read more


No comments: