ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 29, 2011

MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU

Mkutano mkubwa wa Neno la Mungu pamoja na tamasha la Uimbaji wa aina yake  utafanyika hapa DMV kuanzia Jumapili tarehe  2 hadi 9 October 2011 kuanzia saa 11jioni hadi saa 3u siku ( 5pm-9pm).  Wagonjwa na wenye shida mbalimbali za kimwili na Kiroho wataombewa.
WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: