Friday, September 2, 2011

PATA KHANGA KWA BEI POA


Vazi la khanga linapendwa kutokana na ujumbe wake. Kwetu mtu huangaliwa ameingia shughulini na ujumbe gani na si designer gani kama tuonavyo ujumbe ktk vazi la nyumbani kanga.
Je unajua kuwa kanga huhifadhiwa ndani nje na nje ndani unapoiweka kabatini au sandukuni ili iendelee kuwiva na kuwa mpya au isipauke.


4700 Berwyn House Rd # 208 A
 College Park MD 20740 

3 comments:

Anonymous said...

kanga nzuri sana hizo

Anonymous said...

jamani mimi nimeenda mpaka kwenye hiyo adress kununua yale madella ili nivae siku ja idd mbona hakuna na mwenye duka ana shangaa sana mbona hana mali hizo naona mnakosea adress wekeni vizuri jamani

Anonymous said...

wewe umeenda kutafuta madella na hapo kwenye matangazo haikutangazwa madella tizama post vizuri kilichatangazwa ndo kinapatikana hapo dukani.tizama vitu vilivyotangazwa dada.