Sunday, September 4, 2011

Sherehe sherehe za Bridal Shower ya Bahati Mukama Zafana...!!!


Wakiwa katika ishara ya kuzidisha upendo, Bahati Mukama na mdhamini wake wapendo, Paul Walden wakiwa katika sherehe ya Bridal Shower yao iliofanyika jana Jumamosi Sep/3/2011 katika Jimbo la Maryland Nchini Marekani.
Bahati Mukama akiwa katika maeneo yake yakujidai kwenye kiti cha Bridal Shower iliofanyika Jana Jumamosi Sep/3/2011
  
Hapa wote tunawajua wadhamini wa pendo wakiwa katika furaha ya kudumisha pendo lao.
Familia ya Walden wakipata chakula cha Dinner katika Bridal Shower yao!
Wandugu na jamaa wakiwa kenye flash ya pamoja walipendeza sana...!
Ukumbi ulifurika mamia ya wageni walioalikwa kwenye Bridal Shower hiyo
  
Wageni waalikwaa wakiwa wamevalia sare zenye mtindo ya mishono mbali mbali kwenye Bridal Shower ya Bahati Mukama  iliofanyika Jana Jumamosi Sep/3/2011
  
 Bridal Shower iliofanyika Jana Jumamosi Sep/3/2011
Mh. Cathrine Magige, Loveness Mamuya na Zena B Dulla 'Yo What'z Up!

Ebou Shatry wa swahilivilla akisalimiana na Mh. Cathrine Magige kwenye mpangilio mzima wakumkaribisha na kumtambulisha kwenye lebeneke la www.swahilivilla.blogspot.com linaloendeleza kazizake hapa DMV.
picha kwa hisani ya Swahili Villa Blog
Kwa picha zaidi Bofya Read More



Loveness Mamuya akiwa na Mh. Cathrine Magige, ndani ya ukumbi wa  Bridal Shower ya rafikiyao mpendwa Bibie Bahati Mukama, iliofanyika Jana Jumamosi Sep/3/2011

  
Dada Waheeda Margaret Gathesha, picha ya pili (kulia) Rafiki yake mualikwa ndani ya ukumbi wa Bridal Shower ya rafiki yao Bahati Mukama, iliofanyika Jana Jumamosi Sep/3/2011

Mama wa pilot akiwa na mdogo wake, Amina mazonge na rafiki yake nyuma kuleee (kushoto) mdhamini wapendo lake, wakipata flash ya pamoja kwenye Bridal Shower ya rafiki yao Bahati Mukama, iliofanyika Jana Jumamosi Sep/3/2011 Maryland Nchini Marekani.

 
Raha ya ngoma kuicheza ndivyo ilivyokuwa jana jumamosi kwenye ukumbi iliofanyika Bridal Shower ya Bahati Mukama.

Ndivyo ilivyokuwa jana furaha yao ilifana raha walicheza kwapamoja na kufurahisha juu ya sherehe hiyo ya Bridal Shower ya Bahati Mukama. na mdhamini wake wa pendo Bwana  Paul Walden,  M/mungu awajalie mapenzi yazidi kudumu kufa na kuzikana Amin.

No comments: