Advertisements

Thursday, September 22, 2011

TASWIRA ZA AJALI MBAYA YA LORI MJI MDOGO WA MBALIZI WATU WATATU WAFARIKI AKIWEMO MWANAFUNZI WA DIT

 Polisi wakiangalia gari aina ya roli lenye namba IT.9518, lililopata ajali baada ya kugongana na gari jingine na hivyo kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu watembea kwa miguu na kuvunja nyumba
 Gari lenye T.438 BRT aina ya Landovermali ya mchungaji Nduka wa kanisa la Uinjilist Mbalizi. Ambalo liligongana na Lori hilo.
 Taswira ya mbele ya Lori hilo lililosababisha hasara kumbwa.
 Mwanafunzi wa chuo kikuu cha DIT kilichopo Dar es Salaam , Marehemu Dickson Nswila, ambaye alikuwa akielekea kwenye mazoezi ya vitendo TAZARA, jijini Mbeya.
 Mfanyabiashara wa mitumba, mji mdogo wa Mbalizi Marehemu Charles Mwakanyuma
Marehemu Mariam Side mwenye umri wa miaka 31.

Picha zote na Latest News Tz

No comments: