Advertisements

Friday, September 23, 2011

DICOTA 2011 Convention,WASHINGTON,DC

Wageni kutoka sehemu mbali mbali,hapa Marekani na Tanzania wawasili na hapa wakiwa Hotel ya Marriott ilyopo,Sterling,Virginia wakipata machopochopo kwenye moja ya kumbi kwenye Hoteli hiyo ya Marriott
Wageni mbali mbali wakiburudika na vinywaji na vitafunio
Wageni wakiendelea kuburudika na machopo chopo huku wakijuliana hali na kufahamiana
Hapa wageni waliokuja kwenye mkutano huu wa DICOTA wakibadilishana mawasiliano
Wageni wakiendelea na mazungumuzo na huku wakipata vitafunio
Wafanyakazi na Maafisa kutoka kwenye Ubalozi wa Tanzania,Washington,DC
Juu na chini wageni wakiendelea kuwepo ukumbini hapo
Wageni wakiendelea kufahamiana na kubadilishana mawili matatu
kushoto ni mmoja ya wajumbe wa Local Commitee,Asha akiwa na moja ya wageni waliokuja kwenye mkutano huu wa DICOTA unaoambatana pamoja na sherehe za  miaka 50 za Uhuru
Wageni wakipanga mstali kwa ajili ya kujipatia chochote huku wakiendelea na mazungumzo na kujana
Kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: