Advertisements

Friday, September 23, 2011

Waheshimiwa na wageni mbali mbali wawasili,Washington,DC,Kwenye mkutano wa DICOTA na Sherehe za Miaka 50 za Uhuru

Mh.Fatma Said Ali(shoto) aiwa na mumewe ndani ya Ukumbi huo wa Marriott Hoteli iliyopo Sterling,Virginia
Waziri wa Utalii na Mali Asili Mh,Maige(shoto) akibadilishana mawili matatu na mmoja ya mgeni ya waliokuja kwenye mkutano huo wa DICOTA na sherehe za miaka 50 ya Uhuru
Wageni mbali mbali waliotoka kila pembe ya Marekani na Tanzania wakipata Ukodak Moment 
wageni mbali mbali wakipata Ukodak moment wakiwa kwenye hoteli hiyo
Wajumbe wa DICOTA wakipata Ukodak wa kumbu kumbu ya kzi nzito waliyoifanya takribani miezi minne kwa ajili ya kufanikisha mkutani huu unaoendana sambamba na sherehe za miaka 50 ya Uhuru
wageni wakiendelea na mazungumuzo na kuendelea kufahamiana
wageni kutoka sehemu mbali mbali wakipata kinywaji na huku wakiendelea kubadilishana mawili matatu
Wageni wetu kutoka Wichita,kulia ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania,Wichita,Jerry akiwa na mwenzake wakiendelea kuburudika na huku wakibadilishana mawili matatu ndani ya ukumbi huo wa Hoteli ya Marriott
Wapili kutoka kushoto na Mama mitindo Asia Idarous Khamsini ambae leo Ijumaa atafanya vitu vyake kwenye sherehe hizo za miaka 50 ya Uhuru hapa akiapata Ukodak moment na wageni wengine waliokuja maalum kwenye mkutano wa DICOTA na Sherehe za Miaka 50 ya Uhuru
Iska Jojo(kati) akipata Ukodak Moment na Walter Minja(kulia) wakiwa na Janice Lathen wenye kampuni ya Powering Potencial iliyopo New York,NY ambao nao wamekuja kwenye mkutano huo wa DICOTA

No comments: