ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 13, 2011

TUKIO LA AJALI YA NDEGE LEO ASUBUHI MKOANI MBEYA ENEO LA NANE NANE UYOLE

  HIVI NDIVYO NDEGE ILIVYO UMIA BAADA YA KUANGUKA ENEO LA NANE NANE UYOLE MBEYA
 ABIRIA WA NDEGE WAKIWA NA FURAHA MALA BAADA YA KUPONA KATIKA AJALI HIYO ILIYO TOKEA LEO ASUBUHI NANE NANE UYOLE MKOANI MBEYA
BAADHI YA WATU WALIO  FIKA ENEO HILO LA TUKIO KUTOA MSAADA BAADA YA AJALI HIYO

 BAADHI YA WATU WALIO  FIKA ENEO HILO LA TUKIO KUTOA MSAADA BAADA YA AJALI HIYO

HABARI KAMILI 
Ajali ya ndege namba  9J-BIO SESINA 206, imetokea leo asubuhi majira ya saa tatu eneo la Nanenane Uyole jijini Mbeya  na abiria wanne wanusurika kifo na hakuna aliyefariki.

Abiria walionusurika kifo ni pamoja JVER WAAK Umri wa Miaka 49 ambayealikuwa Rubani, Raia wa Afrika Kusini, Bwana CHRISTIAN BASIL MMASI umri miaka 30, Ambaye ni Afisa Utawala wa mashamba ya Kapunga wilaya ya Mbarali, Balozi MOHAMMED RAMIA kabula leke ni Mmakua mwenye umri wa miaka 64, mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam ambaye ni mfanyakazi EXPORT TRADING na Bwana SUNNY TAYIR mwenye umri wa miaka 50 ambaye ni Mhindi na ni mfanyakazi wa EXPORT TRADING.

Na chanzo cha ajali hiyo akijafahamiaka mpaka sasa.

Imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Bwana ANACLET MALIMBISA
PICHA ZETU NA MBEYA YETU BLOG

No comments: