ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 14, 2011

UJUMBE MUHIMU

Kwa wale ambao walianza taratibu za passport lakini hawaja malizia, mnaombwa muwasiliane na wahusika mapema iwezekanavyo.
 
 Mawakala wa CRDB wanataka kuja North Carolina ikiwa kama kuna namba ya watu ya kutosha wanaotaka kufungua account na banki yao. Majibu yenu ni njia ya maamuzi ya hili.
 
Nassor Ally,Chairman
UTNC & TCLA
P.O.Box 52531
Durham,NC 27717
 
Maendeleo ni haki ya wenye kuyapigania, hayaji
bila nguvu za makusudi na zenye muelekeo.
Shirikiana na wenzio kwa kuijenga jamii yako

No comments: