ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 13, 2011

SALAMU ZA RAMBI RAMBI AJALI YA MELI ZANZIBAR

Kwa niaba ya jumuiya ya watanzania waliopo nchini USA chini ya Mwenyekiti wa Newengland Umoja Foundation. tunaungana na ndugu,jamaa na marafiki wote duniani kwa maombolezi ya msiba mzito uliotokea Tanzania,Zanzibar. Taarifa za maafa zimetufikia kwa mshtuko mkubwa. Wengi wa jamaa na ndugu zetu wamepoteza vipenzi vyao, na wengi wapo katika hali ya majeruhi.  Kwa karibu tumekuwa tukifatilia juu ya taarifa hizi za kuzama kwa meli.

Tunaomba Mwenyezi Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wote
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WABARIKI WATANZANIA

No comments: