Saturday, September 3, 2011

WADAU WAKISHEREHEKEA SIKUU YA EID,MARYLAND

Kulia ni mgeni Rasmi kwenye sherehe za Eid,Afisa Ubalozi Abass Misana akiongeae machache na Waumini wa dini ya kiislamu waliojumuika pamoja leo,Maryland,Marekani,shoto ni Idd Sandali,Rais wa TAMCO
Wadau wakipata nyama choma kwenye sherehe za Eid
Wadau wakimsikiliza Dulah(hayupo pichani) kwenye shrehe za Eid
Afisa Ubalozi Abass Misana(kati) akipata nyama choma huku Idd Sandali(kulia) akiwa wenye mkao wa Ukodak mdau mwingine jina halikupatikana hii ilikua kwenye sherehe za Eid zilizofanyika,Maryland
Mr TZ akipata Juice ya Miwa
Mashaka(Madilu)akichoma nyama
Ally Bambino Timu kepteni wa 
Wadau wakibadilishana mawili matatu
watu kila pembe walifika kwenye sherehe hizo za Eid
Utadhi Oscar Gao akiwa na Dr Hamza Mwamoyo
Kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: