
Hii picha ilitoka kwenye gazeti la Daily News enzi hizo miaka ya 70 huu ulikua uwanja wa kumbukumbu ya Karume,Ilala,Je unaweza kuwakumbuka wachezaji hawa hii ilikuwa mechi ya Simba na Yanga

Kushoto ni Edibily Lunyamila akiwa na Mohamed Hussein hii ilikua uwanja wa Taifa wa zamani na Yanga wakiwa wametokea Misri wakati huo wakiwa na Kocha Marehemu Mziray kwenye mechi ya Yanga na Simba ambapo Yanga waliishinda Simba bao 1-0 bao lilifungwa na Keneth Mkapa kwa shuti kali nje ya 18 na kumshinda kipa Mohamedi Mwameja
No comments:
Post a Comment