ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 22, 2011

JONAS SEGU, DEO NJIKU WAPIMA UZITO KWA AJILI YA KUZIDUNDA JUMAPILI HII MOROGORO

 Juu ni kocha wa mchezo wa ngumi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D Boxing Coach'  katikati  akiwa gonganisha mkono huku picha chini akiwainua mikono juu mabondia 
Deo Njiku wa Morogoro kushoto na Jonas Segu  wa Dar es salaam baada ya kupima uzito katika uwanja wa
Jamuhuri Morogoro leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za
Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho jumapili
Bondia Deo Njiku wa Morogoro akipima uzito uwanja wa Jamuhuri leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania
ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho   kushoto ni
mpinzani wake Jonas Segu na promota wa mpambano uho Alifa Kipao..(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments: