ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 22, 2011

Kijiji Cha Swahili Jioni ya Leo

 Ni Chris na Noela wakipata chakula jioni ya leo Jumamosi Oct 22,2011 kwenye Kijiji cha Swahili kilichopo Beltsville,Maryland,Nchini Marekani
Ni Alice na Bashir wakipata picha ya pamoja
Kushoto ni Kenny Mwihava akiwa na Moses Gunda walipokutwa na kamera ya VIJIMAMBO ndani ya Kijiji cha Swahili.

No comments: