Rev Jean-Marie Kabongo ambae ndie aliyeongoza misa ya kumbukumbu ya marehemu Wilhelmina Lyimo iliyofanyikia St Camillus Church lililopo Sliver Spring,Maryland,Nchini Marekani.
Mjukuu wa Marehemu Wilhelmina,Baraka Daudi akisoma neno la kwanza.
Malaika Kasembe
Baba na mwana,Joseph Mzanila akiwa na mwanae kwenye misa hiyo ya kumbukumbu ya marehemu Wilhelmina,
Peter Walden akiwa na mama mwenye nyumba wake
Kikundi cha kwaya kilichoimba kwenye misa hiyo kiliongozwa na Trace
Bahati Mukama akiwa na kadogoo wake
wageni waliofika kwenye misa hiyo kutoka kushoto ni Amos Cherehani,Mama Shideko na Lucas Moshi
Wageni waliofika kwenye misa hiyo wakipata picha ya pamoja
kwenye picha hii ni Joseph Mzanila(shoto) akiwa na Jerome Kasembe(kulia) wakipata picha ya pamoja na Mama Kasembe.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment