ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 1, 2011

Kiongozi wa al-Qaida Yemen auwawa

Anwar al-Awlaki, mzaliwa wa Marekani na kiongozi wa kundi lenye sera kali lililohusiana na al-Qaida nchini Yemen akitoa mawaidha ya kidini katika video iliyotolewa na Interwire.com, Sept 30, 2011
Kiongozi wa kundi lenye sera kali Anwal al-Awlaki aliuwawa Ijumaa katika shambulizimoja la Marekani nchini Yemen Kwa Habari Zaidi Bofya Hapa

No comments: