
Mashabiki wa Man u wakiwa kwenye msururu mrefu kuingia kwenye mtanange wa Timu yao na Man City laiti wangejua kitakachotokea sijui kama ingekua hivi inavyoonekana hapa

Wayne Rooney wa Man U akikabwa na Vincent Company wa Man City

Mario Balotelli ndie aliyeanzisha balaa lote hili hapa akishangilia goli lake la kwanza kwenye kipindi cha kwanza
No comments:
Post a Comment