Mmoja ya Waandaji wa menyu iliyoenda shule akitayarisha kwa ajili ya Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mh.Balozi Seif Ali Idd na Ujumbe wake waliotembelea Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani uliopo mjini Washington,DC,Jumapili October 30,2011
Makamu wa pili wa Rais wa Serkali ya Mapinduzi Zanzibar Mh.Balozi Seif Ali Idd akianza kupakua chakula
Mh.Balozi Seif Ali Idd,makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akiwa na Mkewe Mama Asha Seif Idd wakipakua chakula
Mh.Balozi Seif Ali Idd,makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akiwa na Mkewe Mama Asha Seif Idd wakipakua chakula,huku muaandaji wa menyu hii iliyoenda shule akiangalia na kuwaelekeza.
No comments:
Post a Comment