ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 31, 2011

Matukio mbali mbali ya Safari Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel katika kuelekia Fainali za mrembo wa Dunia

 Hapa Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa kwanza kushoto akiwa katika Vazi la Ufukweni na Wenzake katika maonesho ya Mavazi hayo hapo jana.
 Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa Kumi kutoka kulia akiwa na wenzake katika Dina la nguvu Huko Scottish maeneo ya Scottish Hydro.
 Miss Vodacom Tanzia 2011 Salha Israel  aliye vaa Nguo za Njano katika Mazoezi  ya nguvu kabisa wakati wa maandalizi ya shindano la Miss World Tanzania
 Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa pili kutoka kulia akiwa Edinburgh Castle hivi karibuni katika safari ya kuelekea katika mashindano ya kumsaka Mrembo wa Dunia.
 Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa Pili kutoka kulia akiwa anapiga Chiazi  na wenzake .. katika safari  ya kuelekea kumtafuta Mrembo wa Dunia.
 Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa kwanza kushoto aliye simama akiwa katika picha ya pamoja na wenzake
Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa Tatu  kutoka kulia akifurahia kwa Shangwe wakati wa  Highland Games kuelekea kinyang'anyiro cha Mrembo wa Dunia

Kwa picha zaidi Tembelea: www.fredynjeje.blogspot.com

No comments: